LINDI: BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ BANK) YAIBUKA KIDEDEA KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI MTWARA!

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ LTD) imechukuwa kikombe cha mshindi wa tatu katika maonesho ya nane nane ya mwaka 2018 katika mkoa wa Mtwara. Ushindi huu umepatikana katika category ya huduma za fedha na mifuko ya jamii. На нашем ресурсе собрано большое количество игровых автоматов на любой вкус. Выберите для себя наиболее подходящий и начните играть прямо сейчас! Mshindi wa kwanza alikuwa Benki Kuu (BoT), wapili NMB na watatu ni PBZ Bank.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *