Uzinguzi wa Mashine ya Maji Kijiji cha Ngomeni Pemba katika Shamrashamra za Sherehe za Mapinduzi Kutimia Miaka 54!

Wananchi wa kijiji cha Ngomeni, Chake Chake wapata maji safi!

Hapa juu anaonekana WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe: Mohamoud Thabiti Kombo, akiondoa kitambaa, kuashiria kuufungua mradi wa maji safi na salama, kwa wajili ya wananchi wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe: Mohamoud Thabiti Kombo, akifungua mashine ya kusambaazia maji safi na salama, kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.


WANANCHI wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, wakifuatilia hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, alioitoa wakati akimkaribisha Waziri wa Afya Zanzibar Mhe: Mahamoud Thabiti Kombo, baada ya kuufungua mradi wa maji safi na salama wa wananchi hao, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.

WANANCHI wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, wakifuatilia hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, alioitoa wakati akimkaribisha Waziri wa Afya Zanzibar Mhe: Mahamoud Thabiti Kombo, baada ya kuufungua mradi wa maji safi na salama wa wananchi hao, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.

WANANCHI wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake, wakifuatilia hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, alioitoa wakati akimkaribisha Waziri wa Afya Zanzibar Mhe: Mahamoud Thabiti Kombo, baada ya kuufungua mradi wa maji safi na salama wa wananchi hao, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar. Проведите время увлекательно и с азартом, сыграв в игровые автоматы бесплатно на нашем сайте, не откладывая в долгий ящик

WANAFUNZI kutoka madrassa ya kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema, wakicheza dufu, baada ya Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe: Mahamoud Thabit Kombo, kuufungua mradi wao wa maji safi na salama, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.

AFISA habari wa ZAWA Pemba, Suleiman Anas, akijitikisa kwa kuchez dufu, muda mfupi baada ya Waziri wa Afya Zanzibar Mhe: Mahamod Thabit Kombo, kuufungua mradi wa maji safi na salama kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wilaya ya Chakechake Pemba.

(Picha na Haji Nassor, Pemba).

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *