ZACADIA YAPELEKA FUTARI KWA WATOTO MAYATIMA WA PEMBA NA UNGUJA!

Image result for ramadan crescent

 TUNAWAKUMBUKA MAYATIMA KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI!

ZACADIA (Zanzibar-Canadian Diaspora Association), kama kawaida yetu tumewakumbuka kwa mara nyengine tena watoto wetu mayatima wa kutoka Pemba na Unguja kwa futari na idi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Kila mwaka ZACADIA kutokana na michango ya wanachama wetu huwa tunawapelekea futari na idi watoto mayatima wa nyumbani na kwa mwaka jana mambo yalikuwa kama yalivyo hapa chini:


Pia, Container la futi 40 limo kuandaliwa kwa kujazwa wheelechairs, walkers, etc kwa ajili ya kupelekwa Zanzibar. Kama unataka na wewe ubahatike na baraka za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani basi zungumza na Secretary wa ZACADIA @+1.416.994.6422!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *