ZACADIA YASHIRIKI SHEREHE YA KUMKARIBISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI CANADA!

BALOZI MPYA!

ZACADIA (Zanzibar-Canadian Diaspora Association) ilishiriki sherehe ya kumkaribisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada tarehe 18 August, 2018 mjini Ottawa. 
Pichani juu kutoka kushoto anaonekana Rais wa Zacadia Shk Omar Ali, akifuatiwa na Balozi mpya H.E Alphayo J. Kidata, baadae anaonekana Bi Shahida Hamad (mjumbe wa Kamati Kuu ya Zacadia) akifuatiwa na Watanzania wengine waliohudhuria sherehe hio mjini Ottawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *